Chindo & Moplus ft J Deal-Fungua Kitabu (NOIZ)

ChindoMoplus_FunguaKitabu_500

Bofya HAPA https://mkito.com/song/fungua-kitabu/13689 kupakua ngoma ya Chindo @umbwax & Moplus @babawaukoo ft J-Deal @jdealmusic ikiwa ni HipHop Category kwa jina “Fungua Kitabu” mkono toka @noizmekah chini ya DX katika Studio Album kwa jina “HIP HOP NONDO” inayoendelea kurekodiwa hivi sasa

Vanessa Mdee ft KO-Nobody But Me (Audio+Video)

NBM-branded-artwork

Wimbo mpya wa Vee Money aka @vanessamdee akimshirikisha rapper KO aka @mrcashtime wa Afrika kusini umetengenezwa na Nahreel kwa ushirikiano wa Lunatic, (Producer wa S.A aliyetengeneza wimbo wa KO – Cara Cara) na mchango wa nyongeza kutoka kwa Master A

Best Nasso-Nitarudi Morogoro [Official Music Video]

Nitarudi-Morogoro

Singer Name:- Best Nasso Song Name:- Nitarudi Morogoro Country;- Tanzania Genre;- Bongo Flavour Director:- Saimako +255 712 545 472,+255 766 346 778

Inter-Tourism Collegers Bash Arusha

IMG-20150326-WA0015

Batoo Entertainment presents “Inter Collegers Bash” ndani za Milestone Club Sakina Jumamosi Tarehe 28 Machi 2015 Saa nane mchana na kuendelea. Vyuo vyote vya utalii vitakutana pale Milestone Club, na Wenyeji wetu watakuwa Chuo Cha Tropical Center, Sila College, Nairobi

Top Gear’s Jeremy Clarkson Suspended

topgear-thumbnail-700x393

Clarkson was suspended on 10th March, following what was called a “fracas” with Top Gear producer Oisin Tymon. The argument took place in a Yorkshire hotel and was said to have occurred because no hot food was provided following a

Billionaire Richard Branson Writes About Kenya

kenya_kids_1-700x525

The Virgin Group founder who is one of the most influential public figures in the world was recently in Kenya for a casual visit. Even though he has been here many times before, he says that “there’s something about Kenya

Alhamisi usiku @defxtro katika @safaritvshow

IMG_20150325_192013

Usikose kumtazama Producer DX aka @defxtro toka @noizmekah Studios Arusha katika “Safari Tv Show” @safaritvshow kupitia kituo cha @tv1tanzania on Star Times kesho Alhamisi Tarehe 26 saa mbili na Nusu Usiku akizungumzia safari yake kwenye Tasnia ya Muziki na Ujasiriamali

Shetta ft Kcee-Shikorobo (Audio +Video)

rbt

Official Video link to Shetta ft Kcee-Shikorobo click HERE pamoja na Audio Link: http://bit.ly/ShettaShikorobo powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com #supportafricanartists #vmgafrica @defxtro #SupportYourOwn

Chaba ft Daz & Wiseman-Haijatosha (Official Video)

IMG_20150325_121308

Pls share: Follow @babamkubwa @innomafuru @daznaledge & watch Official Video ya “Chaba-Haijatosha” HAPA powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @mkitodotcom @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

Tam Tam – Galaxy

tamtam-artwork

Pakua wimbo mpya wa Galaxy #TamTam, msanii chipukizi wa Bongo Fleva. https://mkito.com/song/tamtam/13619 powered by @vmgafrica @mkitodotcom @defxtro #SupportYourOwn

Like Father Like Son – Stamina Ft. Fid Q

LFLS-artwork

Ngoma mpya uliyokuwa ukisubiri kwa hamu sasa ipo hewani!Download Like Father Like Son ya Stamina akimshirikisha Fid Q hapa > https://mkito.com/song/like-father-like-son-ft-fid-q/13651 powered by www.vmgafrica.com @vmgafrica @defxtro #SupportYourOwn

Mr Tix ft Odiijambo-Kilililii (NOIZ)

MRTixOdiiJambo_500

Bofya HAPA http://goo.gl/pCxWYD kupakua ngoma ya “Mr Tix” toka TLST crew yenye maskani pande za Mianzini Arusha akiwa amemshirikisha @Odiijambo toka Jambo Squad katika Ngoma kwa jina “Kilililii” ikiwa ni mkono toka @noizmekah chini ya @defxtro, kwa mawasilano/mahojiano zaidi check

Jomla Ryder-Kaza Kisabuni (JoseBlaze.Noiz)

JomlaRyder_KazaKisabuni_500

Bofya HAPA http://goo.gl/sf2xws kupakua wimbo kwa jina “Kaza Kisabuni” toka kwa Jomla Ryder ikiwa ni mkono wa Producer Jose Blaize na mixing pande za Noizmekah Studios chini ya @defxtro, kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na JOMLA RYDER kwa nambari +255 752

Mwaka Mzima ft Davizo & Mwiro-Mumyloo (Goncher)

Mwaka_Mumyloo_500

Bofya HAPA https://mkito.com/song/mumyloo-ft-davizo-mwiro/13649 kupakua wimbo kwa jina “Mumyloo” toka kwa “Mwaka Mzima ft Davizo & Mwiro ikiwa ni mkono toka Kalizone chini ya Goncher, kwa mawasiliano/mahojiano zaidi na MWAKA MZIMA check nae kwa nambari +255 755 466 060 powered by

Chaba ft G-Nako-Chapaa (Audio + Lyrics)

IMG_20150321_173604

Pakua wimbo mpya wa Chaba ft G Nako “Chapaa” click hii link hapa ya Mkito then download https://mkito.com/song/chapaa-ft-g-nako/13634 Song: Chapaa Title: Chaba ft G Nako Prod: Daz Naledge Studio:Watengwa&Dab Muziki Chorus: (G Nako) Mikono, clap clap, tunataka Chapaa, Hatuuzagi sura

Jokate ft Ice Prince-Leo Leo (Audio)

Leo-Artwork-Ft-Ice-Prince

Katika siku yake ya kuzaliwa, @jokatem ameamua kuachia suprise ya nguvu kwa wapenzi wa muziki Tanzania baada ya kushirikiana na nguli wa Hip Hop nchini Nigeria, @IcePrincezamani na kutengeneza Mkito Mpya wenye miondoko ya Afro Pop alioupatia jina Leo Leo